About Us



About Us
We are a team of medical experts specializing in surgery and wound care. Our mission is to deliver high-quality medical services across Tanzania by adhering to clinical guidelines, importing advanced skills and technology, and ensuring accessibility of these services to patients.
Our operations include direct patient care through our clinics and offering franchise opportunities to other healthcare facilities.
Kuhusu Sisi
Sisi ni timu ya wataalamu wa afya waliobobea katika upasuaji na matibabu ya vidonda. Dhamira yetu ni kutoa huduma bora za kitabibu nchini Tanzania kwa kufuata miongozo ya kitabibu, kuingiza ujuzi na teknolojia ya kisasa, na kuhakikisha huduma hizi zinawafikia wananchi
Tunahudumia wagonjwa moja kwa moja kupitia kliniki zetu, na pia tunatoa mafunzo and nafasi za franchise kwa vituo vingine vya afya.

Mission | Dhamira
To provide wound care and surgical services that meet international standards in Tanzania.
Kutoa huduma za vidonda na upasuaji zenye viwango vya kimataifa hapa Tanzania.
Vision | Dira
To become a leading provider of wound care and surgical services using cost-effective methods, technology, and an affordable franchise system.
Kuwa mtoa huduma bora wa huduma za vidonda na upasuaji nchini Tanzania kwa kutumia mbinu nafuu, teknolojia ya kisasa na mfumo wa franchise unaoeleweka.
Providers’ Portal | Portal ya Watoa Huduma
We are providing services in the following facilities/Tunapatikana katika vituo vifuatavyo
- Wound Care@City Clinic (Dar es Salaam)
- WoundCare _Arusha Clinic (Arusha)
- WoundCare_LakeZone (Mwanza)
- WoundCare Southern Highlands (Mbeya)